HUYU NDIYE MWANAMKE ANAYEONGOZA KUWA NA HIPS KUBWA KULIKO WOTE DUNIANI. | MAHUSIANO BLOG

HUYU NDIYE MWANAMKE ANAYEONGOZA KUWA NA HIPS KUBWA KULIKO WOTE DUNIANI.PICHANI NI MWANAMAMA Mikel Ruffinelli AKIWA KATIKA POZI TOFAUTI, asema ajivunia kuwa na Hips Za Hasili , Hips Zake Zenye Ukubwa Wa Size 30 huwa Anaingiza Wastani Wa dollar 1000 kwa kila picha anayopigwa kwenye Mitandao tofauti ya Urembo,..Pia Mrembo Huyo Mikel Anapendelea Kuendesha Magari Makubwa Maarufu kama MaTruck Kwani Anahisi ndio anakuwa Anajinafasi zaidi, Huwa Anakalia Viti Vyenye Material Ya Chuma Na Kitanda chake kinakadiriwa kuwa na Urefu Na upana Wa Futi 7, Shabiki Wake Mkubwa Wa Mikel Ni Mume Wake Reggie Brooks Mwenye Miaka 40 ambaye ni Mtaalamu wa Mambo ya Computer

0 Response to "HUYU NDIYE MWANAMKE ANAYEONGOZA KUWA NA HIPS KUBWA KULIKO WOTE DUNIANI."

Post a Comment