KWA WASICHANA TU:HIZI NDIZO SEHEMU 1O KATIKA MWILI WA MSICHANA ZINAZO PENDWA SANA NA WAKAKA. | MAHUSIANO BLOG

KWA WASICHANA TU:HIZI NDIZO SEHEMU 1O KATIKA MWILI WA MSICHANA ZINAZO PENDWA SANA NA WAKAKA.

Ni kitu gani au mambo ambayo wakaka wengi huangalia katika mwili wa mwanamke na huvutiwa nayo wakati wanauangalia mwili wa mwanamke.Nimekuwekea hapa sehemu za mwanamke ambazo huvutia sana wakaka wengi tafadhali soma hapa nimekuwekea live ujifunze.Hizi ndizo sehemu zinazovutia sana kwa msichana – top 10

Wasichana wanamaeneo mengi matamu,list hii niliyo kuwekea inaonyesha ni maeneo gani yanayopendwa sana na wakaka.

1. Makalio

Wakaka wengi hupenda makalio!makalio mazuri huwafanya wakupende hapo hapo.Na swala la kuwa na makalio mazuri ni garantii ya wewe kuvutiwa na wakaka popote utakapoenda,kwa hiyo hakikisha unafanya mazoezi ili yaweze angalau kuongezeka kidogo kama huna.

2. Macho.

Kuna wasichana huko japani wanaitwa Geisha katika zama za zamani,walikuwa nui wasichana ambao wanaweza kumsimamisha mwanamme kwa kumwangalia tu machoni,walikuwa wanajua ni namna gani ya kuweza kuyatumia macho yao,na kuweza kuukamata moyo wa mkaka pamoja na hakiri yake yote.Kwa hiyo baada ya kuwa una makalio makubwa jua pia ni namna gani unaweza ukayatumia macho yako kukamata hakili na moyo wake kimamilifu.3. Sehemu za siri za msichana.Katika sehemu zinazopendwa na mwanaume basi hii ni namba moja kabisa katika mwili wa msichana.Nadhani hili halina maelezo mengi sana linaeleweka kabisa.4. Matiti.Wakaka wengi wanapenda matiti yasiwe makubwa sana wanapenda ya saizi ya kati!

5. Nywele.Sio tu nywele ndefu ama nini lakini ni kwa namna gani unavyo kaa,namna gani zinavyo ng'aa namna gani unavyoziweka upande huu au upande ule,fupi au ndefu unapozichana vizuri wakaka hupenda sana na huziangalia na kuvutiwa nazo.

6. MidomoMara nyingi mkaka anapoangalia kwenye midomo wako huwa anafikiria kwa kiasi kikubwa kukupiga busu,midomo iliyotuna/iliyovimba huonekana kuwavutia sana wakaka kuliko myembamba na midogo.

7. Tabasamu.Tabasamu linawaweza sana wakaka hata kama amechukia lakini mkaka akipewa tabasamu hata kama amekasirika hubadilisha mawazo yake na kusamehe makosa.8. Mgongo.

Vaa nguo nzuri zenye uwazi kwa nyuma,huwa changanya sana wakaka.

9.Tumbo.

Tumbo laini na lisilo ma kitambi linawachanganya sana wakaka hasa kama una kitovu kilichoingia ndani

10.Miguu.

Wakaka wanapenda miguu laini na midogo,kama una sehemu mojawapo ya nilizo zitaja hapo juu basi zifanyie mazoezi ya kutosha na zibadilishe ziwe sehemu nzuri na zenye kuvutia zaidi.


0 Response to " KWA WASICHANA TU:HIZI NDIZO SEHEMU 1O KATIKA MWILI WA MSICHANA ZINAZO PENDWA SANA NA WAKAKA."

Post a Comment