SEHEMU KUU 2 ZA KUMSISIMUA MWANAUME MKIWA FARAGHA | MAHUSIANO BLOG

SEHEMU KUU 2 ZA KUMSISIMUA MWANAUME MKIWA FARAGHA

1. SEHEMU YA KWANZA: Kwenye KIFUA Kifua ni moja ya sehemu alieumbiwa kila mwanadamu jinsia zote na sehemu hii ya kifua inamfumo wa kuamsha hisia katika mapenzi kwa sehemu tofauti kwa wanawake huleta msisimko katika maziwa na kwa upande wa mwanaume ni eneo zima pindi eneo hili likitumiwa ipasavyo kikubwa uwapo ndani na mpenzi wako jitahidi kutumia viganja,
vidole na ulimi wako kuvichezesha taratibu kwenye kifua cha mpenzi wako ili kuamsha hisia.

2. SEHEMU YA PILI: Kwenye UUME: Uume wa mwanaume ni sehemu moja wapo inayoleta msisimko wa raha katika mapenzi pindi unapotaka kumuandaa mpenzi wako kwa ajili ya tendo husika,
sehemu hii inaweza kutumiwa vizuri na wakina dada kwa wapenzi wao kwa mtindo wa kunyonya uume au kwa kuu papasa papasa taratibu fahamu sehemu kubwa ya kushughulika nayo katika kuuchezea uume wa mwenza wako kama unaunyonya basi tembeza ulimi wako taratibu katika kichwa cha uume huku ukifanya kama unauvuta vuta na lips zako za mdomo pia kama unatumia vidole vyako kuuchezea papasa papasa taratibu juu ya kichwa cha uume.
Kwa kufanya hivi utamsisimua mpenzi wako na kumfanya azidi kuhisi raha na itamfanya aweze kufurahia penzi. ZINGATIA tumia muda mwingi kuonesha maufundi yako katika maandalizi ya Awali.


Hizo ndio sehemu muhimu zenye kuleta hamasa katika mapenzi kwa upande wa wanaume. Ushauri wangu kwa wakina dada wajaribu kuzingatia maeneo haya muhimu na si haya tu yapo mengi ila kubwa zaidi ni haya niliyoyaeleza inakubidi wewe kama mwanamke uweze kutumia ulimi wako na mikono yako katika kuvitembeza kwenye mwili wa mpenzi wako ni vyema ukabaini ni wapi mwenza wako ukimshika anajisikia raha.

0 Response to "SEHEMU KUU 2 ZA KUMSISIMUA MWANAUME MKIWA FARAGHA"

Post a Comment