SOMA HII KUJUA RADHA YA MAPENZI , JE UPOJE KITANDANI?? | MAHUSIANO BLOG

SOMA HII KUJUA RADHA YA MAPENZI , JE UPOJE KITANDANI??

1. Watu ambao hujisifu kwamba ni wazuri kitandani mara nyingi hawajiamini. Suala la tendo la ndoa ni maada sensitive sana kwa wanaume, hivyo kujisifu inawezekana ni kujaribu kufunika ukweli.

2. Kuwa msafi siku zote ni kitu kizuri sana. Wanawake wapo sensitive sana na wananusa kuliko wanaume.
Hii ina maana kwamba harufu mbaya huweza kumuathiri mwanamke kuliko mwanaume. Ni muhimu kuoga kila mara na kuvaa nguo safi, ingawa kuwa msafi kupitiliza kunaweza kuzima hamu ya mapenzi kwa mpenzi wako kwani huwezi kubusu kila sehemu kwa kuogopa kuchafuka.

3. Kuwa bored ndiyo sababu kubwa ya uhusiano wa mapenzi kuwa ovyo na hata hamu kwisha kabisa. Kujaribu kitu kipya pamoja na mikao tofauti wakati wa kufanya mapenzi husaidia kitanda kuwa cha moto kila mara.
Wapo wanandoa ambao wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 60 na bado wana enjoy mapenzi.

4. Kufanya mapenzi kuzuri kunategemea sana jinsi ya kutoa na kupokea kati ya wahusika. Wanaume wengi wao ni rahisi sana kufika kileleni kuliko wanawake wakati wapo kitandani. Wanawake ni viumbe wa hisia hivyo huhitaji muda zaidi ili kuweza kufika kileleni. Ingawa wanawake wengi hawapowazi kuongelea hili, bado kufika kileleni ni kitendo kinachowapa kuridhika vizuri na tendo la ndoa.
Hivyo kama huwa unahakikisha anafika kileleni basi wewe ni mwanaume mzuri kitandani.

5. Kama kunakitu kinatakiwa kuepukwa kwa nguvu zote basi ni ile kuwa na mazoea ya kuwa na sehemu au utaratibu mmoja wa kufanya mapenzi miaka Nenda rudi. Jaribu kuwa na sehemu tofauti za kufanya mapenzi, mnaweza kusafiri au kwenda camping au sehemu yoyote. Hawezi kusahau kumbukumbu za hizo sehemu.

6. Hakuna ubishi uume uliodinda husaidia kumsisimua mwanamke wakati wa kufanya mapenzi. Wakati mwingine mwanamke hukata tamaa kama akijisikia wewe husisimki na matokeo yake wote mnaambulia sifuri.
Ni ukweli pia uume uliosimama na kudinda vizuri huwezi kumpa mwanamke msisimko ambao huwezesha kumfikisha kileleni.

7. Kama wote tunavyojua maandalizi (foreplay) ni muhimu mno kwa ajili ya tendo la ndoa.
Bila maandalizi tendo la ndoa halina ladha yoyote zaidi ya kuumizana.
Kama huwa hufanyi maandalizi yoyote hapo ni dhahiri kwamba haitawezekana kwa mkeo kufika kileleni na hatafurahia inapofika muda wa kwenda kitandani.
Na kama unatoa muda wa kutosha kwa wajili ya foreplay basi atakuwa anasubiri kwa hamu kubwa kusikia muda wa kitandani umefika.
Pia ni vizuri kufahamu kwamba mwanaume mzuri ni yule ambaye hata baada ya kumaliza tendo la ndoa si mtu wa kukurupuka na kutoa uume wakati mke hajamruhusu kwani utamu wa tendo la ndoa kwa mwanamke ni wa muda mrefu zaidi hivyo ni vizuri kubaki ndani zaidi ya dakika 10.

8. Kuna raha yake kwa mwanamke kufanya mapenzi kwa kushtukiza. Utaratibu wakati mwingine huwa una bore, ni kama mazoea. Sex ya kushtukiza wakati mwingine huleta kumbukumbu nzuri zaidi na kuwa enjoyable.
Wanawake huwafurahia wanaume ambao huwapa kile wanatarajia linapokuja suala la kitandani.
Ukiwa mbunifu na mwanaume mwenye utundu kitandani basi mkeo atakushukuru na kukupenda zaidi kwa sababu unampa raha kamili.

0 Response to "SOMA HII KUJUA RADHA YA MAPENZI , JE UPOJE KITANDANI??"

Post a Comment