Binamu Yangu Anapenda Kukaa Utupu Kila Akiniona Sijui Kwanini? | MAHUSIANO BLOG

Binamu Yangu Anapenda Kukaa Utupu Kila Akiniona Sijui Kwanini?

Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi desemba nilienda kumtembelea binamu yangu alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya ukonga.

Kuna matukio yanayotokea na kunishangaza,sasa chumba anacholala binamu yangu na mme wake vinapakana na choo na bafu kama mara tatu hivi wakat naenda bafuni kuoga nilimkuta binamu yangu kaacha mlango wazi huku yuko uchi nikageuka haraka nikarudi nilikotoka.

Mara ya pili binamu yangu alikua ametoka chooni, sasa mimi nilikua naenda kuoga nikamwona bwana akiwa uchi, mara ya tatu tena alikua uchi chumbani huku ameacha mlango wazi cha kushangaza alipogundua hakuhangaika kujisitiri aliendelea na mambo yake,nilipogeuka kumkwepa ndio nikasikia samahani huku yupo very relaxed.

Sijui nifanye nini wadau,msaada tafadhali

0 Response to "Binamu Yangu Anapenda Kukaa Utupu Kila Akiniona Sijui Kwanini?"

Post a Comment