HELP:NATARAJIA KUFUNGA NDOA NA NINAHISI SINA BIKIRA KABISA ILA SIJAWAHI FANYA MAPENZ? | MAHUSIANO BLOG

HELP:NATARAJIA KUFUNGA NDOA NA NINAHISI SINA BIKIRA KABISA ILA SIJAWAHI FANYA MAPENZ?

Hi... Kuna dada yetu anaomba ushauri wenu. Yeye ni msichana mwenye umri wa miaka 22 ana mchumba na karibuni wanatarajia kufunga ndoa. Wasiwasi wake ni kwamba anahisi kama yeye sio bikra, na yeye hajawahi kufanya tendo la ndoa na mwanaume yeyote. Ila ni mara nyingi anakua anameet na mchumba wake wanafanya kissing, yani kunyonyana midomo, wanapapasana sehemu zao za siri lakini kila mmoja akiwa amevaa nguo zake kamili. Wanafanya hayo yote ila hawajawahi kukutana kimwili kufanya tendo la ndoa. Anauliza jee kufanya hayo yote yanaweza kumfanya kupoteza ubikira wake bila ya kufanya tendo lenyewe? Na jee ni sababu zipi zinazomfanya msichana kupoteza ubikira wake? Anaomba ushauri wenu. Shukrani

0 Response to " HELP:NATARAJIA KUFUNGA NDOA NA NINAHISI SINA BIKIRA KABISA ILA SIJAWAHI FANYA MAPENZ?"

Post a Comment