KIDUME UKIZIONA DALILI HIZI 4 UJUE BASI ANAKUPENDA SANA NA YUKO TAYARI KUFANYA JAMBO LOLOTE KWA AJILI YAKO | MAHUSIANO BLOG

KIDUME UKIZIONA DALILI HIZI 4 UJUE BASI ANAKUPENDA SANA NA YUKO TAYARI KUFANYA JAMBO LOLOTE KWA AJILI YAKO

UTAJUAJE KUWA MWANAMKE ANAKUPENDA KWELI
Ni muhimu sana kwako mwanaume kujua kwa uhakika kuwa mwanamke anakupena kweli kweli,utajuaje kuwa mwanamke anakupenda? Zifuatazo ni ishara ambazo wewe kama mwanaume unapaswa uwe makini ili uweze kuziona na kuzifanyia kazi;
1. Mwanamke anayekupenda atakuwa tayar kujitoa muhanga kwa ajir yako yaan kujitoa kafara,vipo v2 ambavyo wa2 hawawez kuvifanya ila icpokuwa kwa wale wanaowapenda kwa moyo wote. Je ww ni sehemu mojawapo ya v2 vichache anavyovipa kipaumbele?,je ww unakuwa wa kwanza mbele ya rafiki zake?,je anakufanyia v2 ambavyo hawez kuwafanyia wanaume wengne?,je ameacha mambo mengine ili aweze kuwa na ww?,ni kwa v2 kama hivi unaweza kutambua ww ni wa muhimu kwake.
2. Mwanamke anayekupenda atahangaika juu yako,m2 anayekupenda atahangaika juu ya usalama wako,raha yako,heshima yako na maendeleo yako.Hii ni moja kati ya ishara kubwa kuwa mwanamke uliyemlenga anakupenda kwel.
3. Mwanamke anayekupenda atakuonea wivu mara kadhaa,ingawaje wivu mara nyngne unaweza kuvuruga penz endapo utazidi.Wivu ni ishara kuwa anakupenda ww na anataka akulinde usiibiwe au asije akakupoteza,anaogopa usije ukatoka katika maisha yake,au kwa maneno mengine usije ukamtoa moyoni mwako na nafas yake ikachukuliwa.
4. Mwanamke anayekupenda atakapokuwa mbele ya marafiki zake au watu wengine atacheka nao lakini atakugeuzia ww macho namaanisha uso wake haraka sana. Kufanya hivi ni kuonyesha kuwa anakuhesabia ww kuwa utaweza kumletea furaha katika maisha yake,zaidi ya hilo ni kwamba anatumaini kuwa utamuona kuwa yeye ni mtu aliye rahisi kufurahishwa kwa kuwa yeye ni mtu wa furaha.

0 Response to "KIDUME UKIZIONA DALILI HIZI 4 UJUE BASI ANAKUPENDA SANA NA YUKO TAYARI KUFANYA JAMBO LOLOTE KWA AJILI YAKO"

Post a Comment