Mwanamke Akamatwa Akitaka Kumtorosha Mpenzi Wake Gerezani Kwa Kumweka Kwenye Begi | MAHUSIANO BLOG

Mwanamke Akamatwa Akitaka Kumtorosha Mpenzi Wake Gerezani Kwa Kumweka Kwenye Begi

VENEZUELA: Mwanamke mmoja(Antonieta Saouda) akamtwa akiwa katika harakati za kujaribu kumtorosha mpenzi wake(Ibrain Garcia) kutoka katika gereza la Jose Antonio Anzoategui.

Mwanamke huyo alikwenda kumtembelea mpenzi wake huyo akiwa na mtoto wao mwenye umri wa miaka 6 ndipo aliamua kumuweka katika begi la nguo na kuanza harakati za kumtorosha.

0 Response to "Mwanamke Akamatwa Akitaka Kumtorosha Mpenzi Wake Gerezani Kwa Kumweka Kwenye Begi"

Post a Comment