TATIZO LA KUWAHI KUMALIZA TENDO LA NDOA....LIFAHAMU APA UJUE TIBA YAKE | MAHUSIANO BLOG

TATIZO LA KUWAHI KUMALIZA TENDO LA NDOA....LIFAHAMU APA UJUE TIBA YAKETatizo hili hutokea kwa baadhi ya wanaume ambapo anapata msisimko mapema au mara tu anapoanza tendo la ndoa na kumfanya amalize muda huohuo, yaani muda usiozidi hata dakika tatu. Tunaposema kamaliza tendo ni kwamba anafikia kilele au mshindo na kutoa manii. Wanaume wenye hali hii wakati mwingine hutoa manii hata kwa msuguano mdogo endapo ataguswa au kugusana na mwanamke na akijenga hisia hata kwenye msongamano atajikuta tayari ameshachafua nguo. Ukifikia katika hatua hii basi upo katika hali mbaya. Ingawa tunasema kuwahi kumaliza ni chini ya dakika tatu, lakini kuna baadhi ya tafiti zinasema kuwahi kumaliza ni pale unapotoa manii ndani ya dakika moja au sekunde kumi na tano kwa baadhi ya tafiti. Wanaume wanaowahi kumaliza mara nyingi hulalamika kushindwa kujizuia…
GPL

0 Response to "TATIZO LA KUWAHI KUMALIZA TENDO LA NDOA....LIFAHAMU APA UJUE TIBA YAKE"

Post a Comment